Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mkuu hiyo option ya nini bado sijapata
Option za kulipia ili uweze kupewa iphone 11 pro
1. Ulipie kwa njia ya kutoa tko
2. Ulipie kwa njia ya visa
3. Ulipie kwa njia ya mastercard
4. Ulipie kwa njia ya kuuza figo yani unabadilishana we unatoa figo halafu unapewa iphone 11
 
Hataree
 

Attachments

  • IMG_20190919_212023.jpg
    IMG_20190919_212023.jpg
    92.4 KB · Views: 51
Back
Top Bottom