Mmmh referee wa mchongo huyu [emoji23][emoji23][emoji23]Refarii maarufu nchini Afrika kusini, akiwa kwenye muonekano tofauti.
Neno moja kwakeView attachment 2048998
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duuuh pole yao aseee [emoji22][emoji22][emoji22]Gairo Morogoro View attachment 2048992
Very true [emoji3590]
huyu huyu jamaa kwenye hii meme anaulizwa na baba yake "naskia fununu siku hizi unavuta bangi" yeye anajibu "fununu ndo akina nani"Ipi hiyo mkuu?
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaha[emoji23][emoji23]Mhuni mwenye mipasho....
View attachment 2049047
I miss u[emoji8]Hata baada ya miaka 60 ya umri wa taifa letu.
Hali bado si njema baadhi ya maeneoView attachment 2049166
Sema ndo nazi haizai boga.Mhuni mwenye mipasho....
View attachment 2049047
Hakika Mkuu!!Huku poa aisee. Cha muhimu tu uzima bana. Tuendelee kubarikiwa na hii pumzi ya bure....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hata baada ya miaka 60 ya umri wa taifa letu.
Hali bado si njema baadhi ya maeneoView attachment 2049166
Ugali tenaaa [emoji15][emoji15][emoji15] hii si supu ya kulia chapati!?