Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Huku poa aisee. Cha muhimu tu uzima bana. Tuendelee kubarikiwa na hii pumzi ya bure....Njema sana. Majukumu yalinibana kidogo nikawa napita tu speed huku.
Vipi,habari ya hapo Ndala!?![]()



