Shimbaaaaaa....Macavelli lives onView attachment 2047711
Nimeshangaa nikasema huu mwandiko wako leo vipi??Mzik umebaki kwa andagraundi maspasta wanatumiya uspasta wao hawu onekani mziki wanao ufanya mspasta mana nyimbo zao nikuimbia mapenzi huku huku vidio zao wanawake wamevaa nusu uchi sijuwi wapi tunaelekea sijuwi jamii wanaifundisha nini wanawake punguzeni tamaa mnajizalilisha kuvaa nusu uchi tambuwa kuna ndugu jamaa malafiki mama baba kaka dada wadogo zenu shangazi mjomba bibi babu mashangazi na kadhalika fanyeni mambo ambayo jamii inapendezwa nayo mziki wa maspasta ni beet siyo mashaili niwachache sana ambao wanaimba kwaniaba yajamii ili jamii itambuwe kuwa mziki mzuli upo ila wengi wao wameishiwa mashaili mazuli wana ogopa kupoteya kwenyegem wana ufos mzik
FB
![]()


kumbe ni kwa hisani ya Facebook

Huyu kijana ka trend sana na picha zake za kijinga kama hiziVijana wa hovyo wapo kila nchi.View attachment 2047893

