Mzik umebaki kwa andagraundi maspasta wanatumiya uspasta wao hawu onekani mziki wanao ufanya mspasta mana nyimbo zao nikuimbia mapenzi huku huku vidio zao wanawake wamevaa nusu uchi sijuwi wapi tunaelekea sijuwi jamii wanaifundisha nini wanawake punguzeni tamaa mnajizalilisha kuvaa nusu uchi tambuwa kuna ndugu jamaa malafiki mama baba kaka dada wadogo zenu shangazi mjomba bibi babu mashangazi na kadhalika fanyeni mambo ambayo jamii inapendezwa nayo mziki wa maspasta ni beet siyo mashaili niwachache sana ambao wanaimba kwaniaba yajamii ili jamii itambuwe kuwa mziki mzuli upo ila wengi wao wameishiwa mashaili mazuli wana ogopa kupoteya kwenyegem wana ufos mzik
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.