aisee kipanya anzmzungumzia ZittoNjoo unywe chai na maandazi dogo...View attachment 2045831
Jivunie chako.
Kuwa mzalendo, nunua bidhaa inayozalishwa nchini mwako
looh! Wachaga tuachwe hahahhahahah, akismama hapo had kizunguzungu yan🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahahapana asee hii bidhaa me kama mzalendo imenishtua pia, sjajua walikuwa wanaawaza nn hawa watengenezaji au ndo unyama mwingi

