Ilisemwa hivyo - kwamba ni yeye, February na mwingine hivi simkumbuki. Ila kutokana na unyeti wa baadhi ya siri zilizokuwa zikivuja kuna hata wanaodai kuwa eti yawezekana pengine maza mwenyewe ndiye alikuwa Kigogo #1.