Vituko mitandaoni. Tupia chako


Sijambo mdogo wangu!
Kabila lipi hilo? Maana mie nimebadili kabila.
Subiri mrejesho kabila utalielewa tu


Ila nanyi mkiamua kuwa wazuri dah! Huyu mpaka ananitisha yaani. Pisi imepanda halafu smooth ule weusi wa mng'aro umbo mkatiko guu sasa na hapo kiunoni uwiii


Eti mdogo wako? We hata ka last born kangu kanakuzidi umri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…