Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,585
- 12,444
Na kwa nini ubebe ya jobless?
wanapiga showsho ya kibabe mkuuNa kwa nini ubebe ya jobless?
huyu meno hana[emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2043280
Oooh kumbe...wanapiga showsho ya kibabe mkuu
yeye sio jobless kwa jamii ila ni jobless kwangu mzee wa showsho hanaga utani kwenye sekta hiyo[emoji1787][emoji1787]karibu kwenye ujoblessOooh kumbe...
Basi hakikisha umejikinga vyema kama unataka tu kufaidi show lakini si matokeo ya shoo [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi Kingsman (ambaye siyo jobless) anayajua haya? Yaani umenifanya mpaka nitamani kuwa jobless. Ushindwe mkuu [emoji16][emoji122][emoji16]
He he hee!!! Wagonjwa wakikutana sasa.This is serious hasa ukizingatia kuwa utafiti huu umeendeshwa na FDA yenyewe. Kuna matumaini makubwa kwamba pengine Alzheimer itapata dawa...ugonjwa wa hovyo unaomfanya mtu asahau kila kitu na hata matendo ya kawaida kama kula na kujisaidia hawezi tena. It will be a significant medical breakthrough!
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] mawardatKama lipo lipo tu. Hakuna hata haja ya kuvaa nguo zisizo na heshima!
View attachment 2043248
Huo mstari wa mwishoUtatoboa tu mama usiwe na wasiwasi. Endelea kuuminya upinzani hivyo hivyo na hakikisha mabilioni hayo unayokopa yanawafikia wananchi wa chini...na uwe mkali kidogo siyo mipasho tu...Ikishindikana goli la mkono la yule "mhuni" litumike. 2025 na 2030 utatoboa tu...Cha muhimu tu Molla Akuweke hai [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 2043251
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2043271
What do you mean? Wamem-Ben Saanane, Wamem-Kolimba au wamem-Chacha Wangwe? [emoji15][emoji15][emoji15]
Kwamba sisi hatuna mahaba eeh?