Haya maneno akisema mwamposa before 31.12. Anakuwa na 500million kimasiharaMwaka jana, kwa wakati huu ambapo Krismasi imesalia siku chache, rafiki yangu mmoja alinitumia 200000Tsh na mtu huyo akapandishwa cheo kazini.
Muda mfupi baadae rafiki mwingine wa zamani pia kunitumia 250000Tsh na alipata visa na kuhamia USA.
Bado mwingine alinitumia 300000Tsh na akaolewa.
SIsemi unitumie kitu, BALI nataka ufikirie na ufanye UAMUZI sahihi!!
Asante sana.![]()
Pole mkuuNiliwahi kujaribu hii kitu, homa sijui ikitokea wapi?. Hii kitu sio pia kabisa.
