Nimeenda kuangalia kamusi ili nijue maana ya neno mhuni, kumbe mhuni ni neno pana ila tafsiri yake kuu ni mtu ambaye hajaoa, ila pia pamoja na kutooa kuna viji- characteristics Kama Saba hivi vya mhuni, ambavyo ni kutokuwa na familia, uvaaji wa kutepesha suruari, kuvuta sigara unamolala, mpangilio mbovu wa chumba, kutoheshimu wakubwa na mengine mengi. Kumbe unaweza ukawa umeoa lkn ukawa na vijitabia vya uhuni so bado na wewe utahesabika ni mhuni. Kwa kuangalia mpangilio wa ghetto la polepole aiseeee yeye ndo ni mhuni namba moja