Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Wakishua piteni tu
IMG_1638106366839.jpg
 
Heri ya Siku ya Kuzaliwa kwa Dunia nzima. Leo kila mtu ana umri sawa. Chukua jumla ya umri wako na mwaka wako wa kuzaliwa, utapata 2021. Hii hutokea mara moja kila baada ya miaka 1000 kwa hivyo unapaswa kuwa na furaha kuiona Siku hii Kuu; km 37+1984=2021
Sasa mkuu hii si ni kila mwaka..hebu chukua hiyo 38+1984 =2022
 
Back
Top Bottom