Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,119
- 8,351
Wakati mwingine sheria zinapindishwa kwa maslahi ya umma.Kwanini isiwe mnada wa wazi sasa
Gwajima alikuwa na huo mpango[emoji848][emoji23]Wakati mwingine sheria zinapindishwa kwa maslahi ya umma.
By the way nani atanunua!?
Na atapitisha kwenye reli ipi!?[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule zilikua mbwembwe tu. Kwani unamsikia tena!!?Gwajima alikuwa na huo mpango[emoji848][emoji23]
Seriously naamini kuna kitu kafanywa simsikii tena hata minong'onoYule zilikua mbwembwe tu. Kwani unamsikia tena!!?
Alishatekenywa mbavuni,akajua serikali ipo.
Sent using Jamii Forums mobile app