moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,361
- 775,895
Akali chakula cha baharini kitamu sana.
Karibu nikufundishe namna ya kuwala hawa kamba, chaza, kaa, pweza, ngisi, nk
Siyo kila siku perege na kambale tu
Akali chakula cha baharini kitamu sana.
....Nenda kahudhurie na vipindi darasani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muone!
Vifaranga ni muhimu kuliko Ben [emoji24][emoji24][emoji24]
Your days are numbered [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na utamu unakuwa ni uleee uleee[emoji6]
Mademu watajitokeza kweli ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]