Happy birthday kwetu sote, nimeproveHeri ya Siku ya Kuzaliwa kwa Dunia nzima. Leo kila mtu ana umri sawa. Chukua jumla ya umri wako na mwaka wako wa kuzaliwa, utapata 2021. Hii hutokea mara moja kila baada ya miaka 1000 kwa hivyo unapaswa kuwa na furaha kuiona Siku hii Kuu; km 37+1984=2021
Na kama anawapenda wote!!!achague anayempenda apooo
Kuna mmoja lazima atakuwa anapendwa zaidNa kama anawapenda wote!!!
Hahahahahaha




Mkuu kama hawana bikira acha kujidanganya.Bikra watoe wapi?
Siku hizi hata hawazaliwi nazo.
Ila hawajachapwa kufikia level za Kina Mobeto,Wema na kina Kajala.
Sent using Jamii Forums mobile app