moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,234
- 775,715
Baby[emoji870]Nataka nakala moja tafadhar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Baby[emoji870]Nataka nakala moja tafadhar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ankali we ya nini hayo madude[emoji23][emoji23]
Kwa marais wa mabara mengine inawezekana.Hv haiwezekan kwa Rais wa Jamhur kwenda kwenye tukio alaf asiongee na hadhira kwa stail ya kuhutubu yaan akae kwenye kiti apige soga mwishowe aondoke zake???
Siyo dem wako huyo.
Thubutuuu[emoji23][emoji23]
Hapa ndiyo wazungu walitupatia. Eti mtoto anakatazwa kuongea lugha yake ya mama. So sad [emoji24]
Mbona kinaonekana ni kigenge cha walevi[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa ndio mawakili wa Yanga kwenye kesi ya Morison. [emoji848]View attachment 2020426
Hakikuwa cha kuteua atakayekwenda kumfunga paka kengele kweli? [emoji848][emoji848]
Kesi ya mauji inawahusu.Zambian[emoji1268] pastor James Sakara aliwaomba watu wa kanisani mwake wamzike huku akiwa amefungwa kamba na kuwaaminisha kua atafufuka na kurudi ndani ya siku tatu kama jinsi Jesus alivyofanya, kwa bahati mbaya hakuweza kurudi alikutwa tayari alishafariki. Askari polisi wamewashikilia wale watu wote waliyoshiriki kumzika kwa sasa wapo kituoni.
Swali langu sasa hapo watu hao Wanakosa lipi na wakati pastor mwenyewe ndio kaomba azikwe?
View attachment 2023879
Hi baby [emoji16][emoji1787]Baby[emoji870]
Tulikua mwenge stend ya zaman jamaa alidondoka kifafa.
Khaa! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]