Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Aidha CCM sio Chama Cha kuniongoza Mimi DJ. DON NALIMISON, na Wala sio Chama Cha kunijengea NYUMBA Mimi DJ. DON NALIMISON. Tafadhalini uzeni na Pesa mkasomeshee watoto wenu. Sina mtoto Lushoto na Wala Sina mtoto Tanzania, wakati wangu wa kupata mke sahihi wa kunizalia mtoto bado haujafika. Na mtoto nitakaye zaliwa kwa mbegu zangu hawezi kurithi mitakataka yenu.

DJ. DON NALIMISON.
Wamemkorofisha nini tena huyu mwamba mkwilima wa Obama?
 
SHIMBA YA BUYENZE natafuta gari kama hilo pichani[emoji1783][emoji1783]View attachment 2020936
Njoo uchukue. Funguo ninazo [emoji16][emoji16][emoji16]

choqolate_gh~p~CBq3N-EpfIW~2.jpg


IG: Choqolate_gh

#MwanamkeTako
 
Back
Top Bottom