Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,427
- 10,749
Huyu aliyepiga hesabu nae kitoi tu. Hapo pa 60,000 sio Mara 365, it is just 60,000×12=720,000.Wewe unawaza rav 4?!
Jinga kabisaView attachment 2016719
Huyu aliyepiga hesabu nae kitoi tu. Hapo pa 60,000 sio Mara 365, it is just 60,000×12=720,000.Wewe unawaza rav 4?!
Jinga kabisaView attachment 2016719
Kwani shida iko wapi na mabesties zangu tumetoka mbaliNo respect whatsoever. Mchumba wa mtu ana male besties zaidi ya nne. We ulisikia wapi?
View attachment 2020515




Mtoto wa kim jong

Ila mshuwa wake mtata sio KWA bwanga hiloHahahaha hapa hakuna haja ya DNA

Mtuache na yanga yetuHawa ndio mawakili wa Yanga kwenye kesi ya Morison.View attachment 2020426

...No respect whatsoever. Mchumba wa mtu ana male besties zaidi ya nne. We ulisikia wapi?
View attachment 2020515
Hii kauli imetoka akiwa sober?
Natumain vshumundu wameskia salam zao............😎Kishimundu one iyo![]()
Ww nenda tu kamtumikie Mungu hakuna namna.........🤣🤣🤣🤣🤣
Umeamua kupambana eeeh!?
Mbona vdonge n vkubwa hivyo? N vtamu??Kwa wazee kama mimi (70+), tumieni hii Super C ili kuimarisha immune system. Ina Zinc na Vitamin D safi sana na ni silaha inayopendekezwa dhidi ya Covid na vihoma homa visivyo na kichwa wala miguu. Vidonge 200 na unakunywa kakidonge kamoja deile (with food)
View attachment 2020101
Mamayo inakutoka haijalishi umekaa na mzazi wako au mkweView attachment 2020103
Umetoka nao mbali lakini hutafika nao mbali....na hakuna ye yote ambaye ameshakukula?Kwani shida iko wapi na mabesties zangu tumetoka mbali![]()