Utakuta alishachakazwa hatari ikulu kama ya 40+Miss under 20View attachment 2020045
Huko hakuingiliki kirahisi hivyo hasa kama ni RC. Sema tu sasa unaweza kuamka tu na kujiita Apostle au Nabii kabisa na uaskofu juu na makorokocho mengine. Hovyo tu!
Amepona. Si alikuwa JK Heart Institute huyu juzi juzi hapa akisema "Niko 70% perfect you know. Executive Suite kwenye Jakaya Cardiovascular Institute you know. Gharama sana kuwa kwenye Executive suite you know. Vijana chapeni kazi you know. American spirit you know [emoji16][emoji16][emoji16][emoji30][emoji30]View attachment 2019887
Asante kwa kutupumzisha Wasukus wuhuu [emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734][emoji1787]View attachment 2019728
......to understand woman, is not easy!
Ni hatari kabisa, wanafinyaaa mpk ngozi inavutika na nywele
Yaani sijui wanasukajeNi hatari kabisa, wanafinyaaa mpk ngozi inavutika na nywele
Ndivyo walivyo tu. Ila mwengine akikusuka Hadi Raha. Anaweza akamaliza usijue kama amemaliza kukusuka [emoji2]
Binti yangu (9 yrs) aliwahi kwenda kusukwa kurudi home akawa analia. Kuja kumwangalia yaani nywele zimevutwa mpaka anapiga kope kwa shida. Niliamua tu kuzifumua aisee...Ni hatari kabisa, wanafinyaaa mpk ngozi inavutika na nywele
[emoji2][emoji119] Kuna wasusi ni kiboko... Hulali ata kwa sekunde. Madai yao eti zikae kwa muda mrefuBinti yangu (9 yrs) aliwahi kwenda kusukwa kurudi home akawa analia. Kuja kumwangalia yaani nywele zimevutwa mpaka anapiga kope kwa shida. Niliamua tu kuzifumua aisee...
Wanaume watu wabaya sanaMiss under 20View attachment 2020045