Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20211123_113145_902.jpg
 
Kwamba mbegu zake ni permanently blank lakini kazaa watoto watatu. Shikamoo wanawake...
View attachment 2020274

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#Kuchapiwanisiriyandani

Ni mjinga, DNA unafanya ya nini, unachokitafuta utakipata, wewe lea watoto ukijua ni wako, tengeneza bond baina yenu muwe kimoja ili hata uzeeni watakuwa wanakucheck.
Sasa ukijua sio wako, hali itabadilika pakubwa, hata kama utaendelea kuishi nao.
Halafu hizo DNA tests sio asilimia 100% accurate.
 
Back
Top Bottom