Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG-20211116-WA0058.jpg
 
#SIMULIZI
MWEKANADHIRI NA SHETENI (Sehemu ya tatu)
Baada ya MWEKANADHIRI kuambiwa naile sauti kua akampe mke wa shetani, MWEKANADHIRI alirudi hadi nyumbani kwake, na akamwelezea mkewe yalotokea kule msituni.
Mke akamwambia mumewe usichoke, mwendee tena mtabiri wa malimwengu ukamweleza yalotokea huko, basi MWEKANADHIRI asubuhi namapema alimwendea MTABIRI Kisha akamwelezea yalotokea najinsi shetani alivyomjibu kua aende akampe zile pesa huyo mke wa shetani.
Mtabiri akamwambia ndugu yangu usichoke wake washetani niwengi sana hapa mjini, tembea tembea mitaani, ukimkuta mwanamke asie mheshimu mumewe, basi huyo ndie mke washetani, MPE PESA HIZO UKIMWAMBIA ZIMETOKA KWAMUME WAKE SHETANI, akizipokea basi NADHIRI YAKO ITAKUA IMETOKA. Baada ya maelezo yale MWEKANADHIRI hakupoteza muda, sikuileile akaanza kutembea mitaani.
Baada ya kupita mitaa miwili tu alikutana na mwanamke alie VALIA LIBASI ZA ULIMBWENDE akitoka mlangoni kweke kuelekea mtaani, lakini kuzingitini mwamlabgo wake alisimama mwanaume mmoja alieonekana #MUUNGWANA akimuita kwasauti ya upendo "mke wangu mke wangu" heburudi maramoja kunakitu nimesahau nataka kukuagiza, lakini yule mwanamke hakurudi kumsikiliza mumewe badala yake alimnibu akisema "Nilikuwmo humo ndani hukuniambia lolote, maadamu nimeshatika sirudi nawala sisikii lamume wala nini" mpaka nitarudi safari yangu, yule mwanaume alihuzunika sana akarudi ndani. Basi mweka NADHIRI alipoona vule akamwendea jirani na nyumba alotoka mwanamke yule akamuuliza sifa za bibi yule, yule jira akamwambia, "Mwanake yule hamuheshimu mumewake tena humkaripia hadharani kama anakemea mtoto wake hivyo hana #NIDHAMU kwa mumewe,, mweka NADHIRI alipata maelezo yale alijisemea moyoni "huyu hasa ndie mke wa shetani anastahili kupewa pesa za shetani. Basi mweka NADHIRI akamkimbilia yule mwanamke ili ampe pesa za shetani, alipo mkaribia yule mwanamke akapaza sauti akisema "POKEA PESA ZITOKAZO KWA MUMEO SHETANI"je mwanamke yule alizipokea pesa za shetani.?uje4
Asante,tunaendelea kufaidi
 
Back
Top Bottom