Daah😁. Hata siendi
Yaani mchezo umekolea, mother akikuita home unatukana kimoyomoyo mitusi ya hajaNamba mbili, nilikua hadi nasahau chakula cha mchana, siku nzima inapita sijala chochote.....
MichepukoMtu na baby wake kadhaa.View attachment 2008229