Tutajuaje kama na yeye anazo?

Sio kukua, ni stressWanasema ukikua uaacha,kweli mie nimekua,mie wa kuona memes hazichekeshi
,
NimeKuwa mkubwa![]()
Nahitaji ya notiUmepata rafiki.. Chagua ya sarafu au ya notiView attachment 2007772View attachment 2007774

Mwanzo wakati JPM ameingia madarakani mvua iligoma tena nchi nzima. Ilifika kipindi akapiga stop wakuu wa wilaya kutangaza njaa.. Ikiendelea hivi mwaka kesho kutakuwa na njaa kubwa. Sijui ndo mabadiliko ya tabia nchi hata haieleweki. Ila tumerejesha mahusiano yetu ya kimataifa. Hatutakosa misaada ya chakula
View attachment 2005079
Tohara tunaiona ni sawa kwakua na wazungu wanafanya. Kila kibaya cha wazungu na mwafrika lazima akione kinaya. Ushajiuliza maumivu yanayotoka wakati wa mwanaume kutajiriwa?Mila za kiafrka zngne n kuharibiana mionekano woooi, bora zijifie tu hizo mila zszo na mantiki.
Vuta hisia n maumivu gan aliyapitia wakat wa tukio, s poa asee
Hata mimi nalitafuta.
Atoke tu mpk teacher amalize kusomesha
Aende wapi sasa![]()
Lakini jibu si amepatia?Atoke tu mpk teacher amalize kusomesha
Tohara tunaiona ni sawa kwakua na wazungu wanafanya. Kila kibaya cha wazungu na mwafrika lazima akione kinaya. Ushajiuliza maumivu yanayotoka wakati wa mwanaume kutajiriwa?
dawa ya bafua di kvant kubwa😎