Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

  • sjamaanisha hivyo, tohara kwa wanaume imethibitshwa kitaalamu kwamba akiachwa bla kutahiriwa kuna madhara kiafya. Na weng wao hufanyiwa tohara wakiwa watoto wa mwaka mmoja hapo hata maumivu hawez kuyasmulia.
Niambie kwa hao pichani n madhara gan ya kiafya wanayapata endapo wataachwa na midomo yao mizur kama awali
Aliyethibitisha usalama wa tohara ni mzungu pia. Niambie kipi kilifanywa na mweusi akakithibitisha kisha mzungu akapinga lakini kikaendelea kuaminiwa.

Jiulize kuna tofauti gani kati ya wadada wanaofanya surgery ili kuwa na mwonekano wa kuvutia na hawa waethiopia kipi kina madhara zaidi lakini kinapewa promo na kinaonekana bora?
 
HII NDO FIRST ELEVEN ya DRC Congo iliyocheza dhidi ya Taifa Stars:

Kiassumba - Servette (Switzerland)
Bakambu - Beijing FC (China)
Kakuta - Chelsea u20
Bastien - Standard Liege (Belgium) we
Mbokani - Former Norwich City Player
Akolo - Amiens (Fance)
Mbemba - Anderletch (Belgium)
Ngonda - Fc Riga (Latvia)
Moukoko - Diffaa (Moroco)
Idumba - Cape Town FC (SA)
Luyindama - Galatasary (Uturuki)
Kayembe - Eupen (Belgium)
Bolasiye - Rizespor (Turkey)
Jackson Muleka - Standard Liege (Belgium)
Fasika - Cape Town FC (SA)

HAKUNA MCHEZAJI WA AS VITA WALA TP MAZEMBE.....
Wametuonea tu,kulikua hakuna ulazima wa kuita wachezaj toka mbali hivyo ilhal wana wachezaj kibao hapa hapa afrika masharik.
 
9aa99c2d8c78423b9a6282937a3a2139.jpg
 
Back
Top Bottom