Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1636561084009.jpg
 
Naifahamu hiyo pisi. Siku hizi imejikondesha mpaka msambwanda wote umekwisha yaani. Hovyo tu. Mpaka nimei-unfollow Instagram kwa utopolo huu iliyoufanya [emoji51][emoji51][emoji51]

Zamani wakati imenenepa vizuri
Screenshot_20211110-122123_Instagram.jpg


Siku hizi
2.686810599780714E18.jpg


[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Lini utaanza kunitumia unazokutana nazo huko kitaa kama tulivyokubaliana?
 
Ha ha ha!! ila kweli mwanamke ninayekusudia kuoa kabisa bora aniongopee, ila asiwe mkweli alivyonyanduliwa na wanaume, kama vipi hata aniambie aliliwa na mmoja na alilazimishwa tu hakufahi wala hakupenda.....
Sema mwanaume kama umempata unayetaka kumuoa acha hayo maswali ya historia, yatakutesa bure maana sisi wanaume tunaishi kiushindani zaidi, tunapenda kujilinganisha na tuna ego na kiburi tangu udogoni, na ndio maana mke akichepuka ndoa huwa imeisha hiyo, hata mkirudiana haiwi tena ndoa, maana kila ukimla unawaza hilo dushe alilolifuata huko, urefu na unene wake, kwamba kama mwanaume umezidiwa na limwanaume lingne huko limemla mkeo, yaani kwa kiburi chetu haitokuja siku upone, bora kuvunja ndoa tu.
Uko sahihi kabisa mkuu. Hawa mabinti (hasa hawa wa kisasa hawa) hawajui kabisa saikolojia ya wanaume. Binti umemkubali kabisa yaani ndo waifu matirio halafu anaanza kukusimulia jinsi ex wake wa pili alivyokuwa na mjurubeng mkubwa wa kutisha mpaka mara ya kwanza uligoma kuingia.

Unauliza kwa unyonge. Huyu boya mlidumu naye kwa miaka mingapi?

Tangu nikiwa sekandi yia mpaka nilipomaliza chuo na mwaka mmoja wa uraiani. Yeye aliniacha chuo ila tulikuwa tukifunga chuo nakwenda kwake Musoma.

Sasa hapo ukipiga mahesabu kuwa waifu matirio wako katandikwa na njemba hii yenye mjurubeng wa kutisha kwa miaka mi3+ unawaza tu huko chini si kutakuwa kumechakazwa sana? Hapo hapo unamtoa kwenye uwaifu matirio unaamua tu nawe utandike hilo lapulapu halafu usepe.

Na kama kweli umeamua kumuoa basi ni afadhali sana usiulize hilo swali vinginevyo kila ukiwaza ukweli utakaoambiwa utakuwa unasumbuka sana. Yaani Lodge Town unaiona hii hapa kabisa...
 
Nakua kauzu wa mwanza ghafla [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2005924
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio wadada tu hata Kwny kundi kubwa kama Ilo liwe la wanawake lazima mtu utembee miendo ya Aina tofaut tofaut

Cha kukusaidia mwanamke uwe na booty ndongo kiasi apo utakosa miluzi ila kama una big booty aseeee utakuwa na Hali ngumu..
 
Back
Top Bottom