Vituko mitandaoni. Tupia chako


Ha ha ha!! ila kweli mwanamke ninayekusudia kuoa kabisa bora aniongopee, ila asiwe mkweli alivyonyanduliwa na wanaume, kama vipi hata aniambie aliliwa na mmoja na alilazimishwa tu hakufahi wala hakupenda.....
Sema mwanaume kama umempata unayetaka kumuoa acha hayo maswali ya historia, yatakutesa bure maana sisi wanaume tunaishi kiushindani zaidi, tunapenda kujilinganisha na tuna ego na kiburi tangu udogoni, na ndio maana mke akichepuka ndoa huwa imeisha hiyo, hata mkirudiana haiwi tena ndoa, maana kila ukimla unawaza hilo dushe alilolifuata huko, urefu na unene wake, kwamba kama mwanaume umezidiwa na limwanaume lingne huko limemla mkeo, yaani kwa kiburi chetu haitokuja siku upone, bora kuvunja ndoa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…