Enzi hizo Kiongozi kujilimbikizia Mali ilikuwa ni aibu kubwa.
Double chabo.[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2001562
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji56]View attachment 2001600
Asante sana[emoji56][emoji120]
[emoji81][emoji81][emoji81]pole yakeHii kitu kuna mtu alikuwa akiniambia yaaan hiv hiv haikupita week sm ikavunjika kioo, hahhahahahaha nkampeleka kariakooo aseee hakuweza kununua kioo mpka leo sasa hiv anatumia tecno anasema inapiga picha vzur [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yalimkuta kwa kweli
[emoji16][emoji16][emoji16]waje niwaoneKuna watu unawachokonoa,[emoji38][emoji38]
[emoji851][emoji851][emoji851]Imebidi tu nicheke aisee. Shikamoo Samsung
Bado kama ngapi hivi ninunue kama yako[emoji16][emoji16][emoji16]Yaani kwa pesa hiyo simu kama yangu,ni pesa nyingi hadi ya bando la mwaka mzima yabaki[emoji23]