Sio wote wanashindwa jitunza sababu ya pesaa,kuna watu duniani wanaitwa 'they don't care' hawa ni hatarii. Ninajamaa wako vizuri kiuchumi mara kumi kwangu,ila ni wachafu(nimekosa lugha nzuri ya kutumia). Yaani kuanzia kula Yao,vaa yao,magari yao ndio usiombe upande. Kiukweli kujitunza kunaanzia ndani mwa mtu kuuona umuhimu huo.
Imagine kuna mtu anajisifia ajaoga siku 5?!