MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,569
- 53,582
80K? Ina tiviii huko ndani? Sema kama ni buku tuongee [emoji16]
View attachment 1996839
Ha ha ha!! Kuna pisi la kwetu Kenya tulikutana South Sudan, nikalinunulia wine nyingi tu na mazagazaga mengine, kufika chumbani likaniambia bila dollars $100 halivui chupi, tuliagana papo hapo.