Namshukuru Mungu ni nzuri kabisaHabari yangu njema/salama kabisa mpendwa
Vipi za wewe?

Sumbawanga kwa wafipaWapo Usukumani...
View attachment 1995910
Wala usijali sababu hata mie ni msukuma kwa mbaaaaaaliSiku tukionana lazima upige magoti hivi tukisalimiana![]()

hayo magoti hayanipi shida kabisaKweli aisee ukimkalia kimya hakikisha uko serious na siyo kwa kujaribu eti uone kama atakutafuta, wengine hawajaribiwi ukimwaga ugali yeye anamwaga mboga, sasa kama ulikuwa unamjaribu inakula kwako! Ukiamua kumkalia kimya uwe na uhakika kuwa safari hii utamsahau na hautarudi nyuma!
AminaNamshukuru Mungu ni nzuri kabisa![]()
Kama sikosei hiki kitabu nilikitumia
Halafu hamtazami machoni anatupa macho chini au pembeni. Hiyo mikoa hata uletwe wake wenza unatakiwa useme asante Baba.Sumbawanga kwa wafipa
Hujawahi kuniangusha hata siku moja. Nakukubali sana wewe na Wanyaki wote po pote mlipoKweli aisee ukimkalia kimya hakikisha uko serious na siyo kwa kujaribu eti uone kama atakutafuta, wengine hawajaribiwi ukimwaga ugali yeye anamwaga mboga, sasa kama ulikuwa unamjaribu inakula kwako! Ukiamua kumkalia kimya uwe na uhakika kuwa safari hii utamsahau na hautarudi nyuma!
