Vituko mitandaoni. Tupia chako

Na vp km mdai ataamua kumuweka chumba cha uan ktk nyumba yake na kumgharamia mahitaj yote mpaka kifungo chake kitakapoisha
Mdaiwa kama hana mali zinazofanana na deni lake mdai anaruhusiwa kumpa kazi za kufanya kwa muda maalum ambao mahakama itauridhia ili kufidia madeni ya muhusika.
Kwahiyo unaweza kumpeleka nyumbani kwako akaoshe vyombo, afagie nyumba, afue nguo za familia nk.
Ikiwa kazi za aina hiyo mathalani mshahara ni 300,000 kwa mwezi.
Zitapigwa hesabu kutokana na deni unalodai.
Atafanya mpaka hela anayodaiwa imalizike.
Kwa huyu mwanaharakati huru anaweza kujikuta kwenye mazingira hayo kama atashindwa kuwalipa Membe na Fatma Karume.
Tujitahidi kuheshimu watu hata kama mbele yako kuna Kigogo anayeweza kukulinda kwa wakati huo.
Maana sheria haina ulinzi wa kigogo
 
Mchongo wa uhakika huu hapa [emoji16]
View attachment 1993939
Ukikuta soko limevamiwa na ndizi zilizoletwa toka Mashati Rombo au Matombo Morogoro, mbona utalia.[emoji24][emoji24][emoji24]
Nimewaona wengi walioangua vilio kwa michongo ya aina hiyo[emoji26][emoji26]
Kuna wakati biashara ni kama kuweka hela kwenye Tatu mzuka[emoji849][emoji849]
 
Ana leseni? Tuanzie hapo kwanza [emoji16]
View attachment 1993760
Kama akaunti yake Stanbic bank inasoma $$$ za kutosha hiyo si shida.
Kikubwa itabidi tuhame kwenye mitaa tunayojulikana tukaishi mbali ili awe huru[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umezoeshwa kula vya bure vya mnyakyusa, baada kuzoea unaletewa nyumbani mtu anayekununulia[emoji23][emoji23][emoji23]
Shabash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…