moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,236
- 775,716
Badirisha mbinu
Badirisha mbinu
Mnabebeshwa mizigo mizito huko salonJamani 20 kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1991776
Huyu hana rungu, ana kirungu [emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 1991781
Ulinzi ukifika hatua hiyo ni matesoTafuta pesa uwe unalindwa kama hivi,sio upo upo tu mpaka watu wakisikia jina lako waseme "huyo mtu bado yupo hajafa tu"[emoji23]View attachment 1991962
Wa liputuUkiona hivyo jua hiyo ni chapa ya Masasi, Ndanda, Nanganga, Newala nakazalika[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
🤣🤣🤣😂😂🤣🤣[emoji1787][emoji1787]Digging deeper View attachment 1992368
😂😂😂😂😂😂Unauchuna chuu[emoji1787][emoji1787]Digging deeper View attachment 1992370
Haaaaa Haaaaa 😂 Yan mimi huko ndo siendagi kabisaa, kule hata polisi walishindwa
Shwari,ankali usiku jana au?Habari za usiku ankali
Pole yao[emoji3061]Mnabebeshwa mizigo mizito huko salon
Hii n kweli kabisa ndo mana kuna falsafa inasema "kazi ni utu" kwa hyo kama huna kaz, huna utu hustahili heshima[emoji12]
Wewe[emoji8]Hii n kweli kabisa ndo mana kuna falsafa inasema "kazi ni utu" kwa hyo kama huna kaz, huna utu hustahili heshima[emoji12]
itoshe kusema wakaka na wadada ni watani wa jadi..
Akali haundagi huko?Pole yao[emoji3061]
[emoji736][emoji3581]Wewe[emoji8]
Photoshop at its best[emoji23][emoji23]
Naanzaje ankali,mie mshamba mmoja hivi,yaani sijawahi,kwasasa naona kuna ka pepo kanataka nishawishi[emoji23],ata hivyo ataziona nani ndani ya hjb?Akali haundagi huko?
Labda siyo hela ni maparachichi [emoji16][emoji16][emoji16]Hela hio kiasi gani? [emoji23][emoji23][emoji23]