Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Babu mwenyewe orijino sasa!
IMG-20211015-WA0102.jpg
 
Yaani nyie[emoji41],mnataka kudeka na humu

,sisi mafirst born tungechomoka na kizazi msingekuwepo[emoji41]
Ma last born wanadeka kila mahali.
Kuna mmoja leo alideka sehemu, akadai eti ana mchumbaake, aachwe kwanza akamuoe kisha ndo wamfunge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom