Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Jidanganye!
Hivi vitakua ni hivi vichalii miaka 17/18.[emoji16][emoji16][emoji16]. Kama hizo fried eggs na ww umekula kesi iko wapi?
View attachment 1974768
Mmehamia na huku kutafuta watu wakusabuskraibu,ule ujinga mnaotuwekea huko you tube watasabskraibu mafala tu.Haya ni maajabu. Tazama panya wanavyoabudiwa. Waumini wanaamini ukimuona panya mweupe unabarikiwa zaidi[emoji23]
Usisahau kugusa neno SUBSCRIBE ili kupata na kujua maajabu zaidi duniani
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Kazeeka sasa[emoji818][emoji818][emoji818]
View attachment 1974766
Kabla ya kutuma meme inayohusu malastborn unalazimika kumtumia katibu wa chama cha malastborn Tanzania(CHAmaLaTA) ndugu ShimbaYaB ili aihakik km haiend kinyume na yalioainishwa kwenye katiba ya (CHAmaLaTA) ambayo haijaandikwaKweli kabisa[emoji41]vivivu[emoji2902]View attachment 1974794
Yaani nyie[emoji41],mnataka kudeka na humuKabla ya kutuma meme inayohusu malastborn unalazimika kumtumia katibu wa chama cha malastborn Tanzania(CHAmaLaTA) ndugu ShimbaYaB ili aihakik km haiend kinyume na yalioainishwa kwenye katiba ya (CHAmaLaTA) ambayo haijaandikwa
Kwa bakht mbaya ishu ya kuchomoka na mpango mzima ipo nje ya uwezo wakoYaani nyie[emoji41],mnataka kudeka na humu
,sisi mafirst born tungechomoka na kizazi msingekuwepo[emoji41]
Endeleeni,kumbe hadi mnakachama kenu[emoji3],Kwa bakht mbaya ishu ya kuchomoka na mpango mzima ipo nje ya uwezo wako