Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Sasa hii inakuwaje learned brothers!?
Jamani keki tu hii nayo inifanye nilimwe ban tena? Nitaondoka JF mazima sasa kwa kweli [emoji16]Hii kali sana.. Ila Shimba hukomiii?[emoji2][emoji2][emoji2]
Nini kinaendelea hapa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 1975480
Hata sijui aisee ila kuna kitu kinaendelea [emoji16][emoji16]Nini kinaendelea hapa
Ban za kumwaga kwa sasa ziko kule kwenye uzi wa pisi kali. Ukiweka picha ya binti kavaa bikini tu unalimwa ya siku 7. Siendi huko tena hata kwa bunduki!Hahahaha hapana kaka natania tuu
Astakafiru... Tutamsaidia uleziKwakweli Hakimu angemsikiliza Sabaya kuacha hii kitu mtaani ni hatariView attachment 1975482