Mtu utakuta dada zake nyumban hawana hizo chura harafu anataka MWANAMKE mwenye chura my wangu chura has got with agnesi masogange vimebaki vifaa vya kulaliae tu kama vp zaa wako tuone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Itakubidi uanzishe huo mradi wa kufuga chura,,,,,maana ndo kitu tunapenda mshabiki wa mziki mzuri[emoji1787]
Dakika hii umekula ban...kwa buku jero [emoji3][emoji3][emoji23][emoji1787][emoji16]
.Mtu utakuta dada zake nyumban hawana hizo chura harafu anataka MWANAMKE mwenye chura my wangu chura has got with agnesi masogange vimebaki vifaa vya kulaliae tu kama vp zaa wako tuone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Ndiyo. Nataka ya mwezi mzima safari hii [emoji16][emoji16]Shwari kabisa.....shikamoo babu[emoji23]
Nakuona[emoji3061]
Unataka uwachokonoe tena[emoji41]
Tukupe uenyekiti mkuuChama cha malastborn Tanzania (CHAmaLaTA)
Mtoto wa kishua anajua Kiingereza zaidi kuliko Kiswahili [emoji15]Natumiaga kiswahili na nger ila naona kiswahili kinanipaga changamoto sana
Nitajie hapa lugha zote unazoziongeaWee me napenda kilugha sana na pia najua na baadhi ya lugha za makabila jilani kama 3 kifaransa kinanichanganya akili nakipenda ila kilikatishaga tamaa form two na pia naenjoy kujua lugha mbali mbali
Namfananisha na mjukuu wako ward
Ndo maana napenda ugali[emoji41]Ndiyo. Nataka ya mwezi mzima safari hii [emoji16][emoji16]
Sio mbaya ww utakua katibuTukupe uenyekiti mkuu
Nani??? Umenishtua usingiziniNamfananisha na mjukuu wako ward
Nadhan ile ni picha yako zilipendwaNani??? Umenishtua usingizini
NiwekeeNadhan ile ni picha yako zilipendwa
.Niwekee
Tulipishana kauli mahali fulani nikawakoromea nao wakanishushia nyundo yao ya ban...hawafai [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 1973268