Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,535
- 5,784
Tena washenzi haswa
Tena washenzi haswa
Sasa sisi tuna shida gani mkuu?Mnataka na sie tuwafanyie nini kwani?
Ukute hivyo vilio vya uwongo ndo mnalipa wema wetu
Asante sana bageshi. Zawadi yako inakuja...Hapana, nimemuwakilisha shimba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kamanda dah!Asante dada wa kisukuma.
Usiniambie unamwakilisha SYB
[emoji23][emoji23]
Ijia zawadi yako. Wasukuma tuna roho njema sana [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio, msukuma wa kujitolea.
Bageshi mbona naona banned tena? Umefanya nini?Asante sana bageshi. Zawadi yako inakuja...
Ni kweli, na ndio maana kila mtu anataka kuwa mtani wenu. Ila yule ndugu yenu sijui alikuwa msukuma wa wapi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Ijia zawadi yako. Wasukuma tuna roho njema sana [emoji16]
Hujadanganya bageshi...lakini siyo kwa ushamba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wasukuma wako juu
Nipo braza. Nilipitiwa na ban ya wiki moja...ila nipo [emoji16][emoji16]Hahahaha Shimbaaa you are missed![emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hujadanganya bageshi...lakini siyo kwa ushamba
View attachment 1973061
Uliwafanya nini mods?Nipo braza. Nilipitiwa na ban ya wiki moja...ila nipo [emoji16][emoji16]
Ndugu yetu yupi?Ni kweli, na ndio maana kila mtu anataka kuwa mtani wenu. Ila yule ndugu yenu sijui alikuwa msukuma wa wapi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Nataka zawadi yangu!
Tulipishana kauli mahali fulani nikawakoromea nao wakanishushia nyundo yao ya ban...hawafai [emoji16][emoji16][emoji16]Uliwafanya nini mods?
Sawa tumemsamehe.Ndugu yetu yupi?
Au yule aliyekuwa anaendesha mambo kama mzee wa familia - kwamba asemalo ndilo na hakuna wa kumshauri? Kama ni huyo tumwache apumzike salama na tumsamehe kwa mabaya yote na tumshukuru kwa mema. Maandiko yanatutaka tufanye hivyo!
Kama vile mnalaumu upande mmojaSasa sisi tuna shida gani mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tulipishana kauli mahali fulani nikawakoromea nao wakanishushia nyundo yao ya ban...hawafai [emoji16][emoji16][emoji16]
Hatujalaumu, tumesifia[emoji1787]Kama vile mnalaumu upande mmoja
Asante sana bageshi....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaleta ugomvi wa mawe wakati unaishi kwa nyumba ya vioo?
Karibu tena, you were missed!
Kamanda inakuwaje, mbona unapotezwa sana, unawakoseaga nini?Kamanda dah!