Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
[emoji48][emoji48]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 1971364
Hiyo ni baada ya miaka mitano[emoji1787]
KabisaZambi nyingine hata shetani anazishangaa[emoji2]
Yaani unajikuta wewe ndiyo unaanza kumuomba mdaiwaji akulipe deni lakoHiyo ni baada ya miaka mitano[emoji1787]
Wapo wa hivyo,,unadai hadi unaona unamkera mdaiwa[emoji16]Yaani unajikuta wewe ndiyo unaanza kumuomba mdaiwaji akulipe deni lako
Wapo wa hivyo,,unadai hadi unaona unamkera mdaiwa[emoji16]
Kwema kaka [emoji16]Hahaha
Kwema lakini mkuu
Kauli hii,,,'NIKIPATA,NITAKUPA,NAKUMBUKA SANA KAMA UNANIDAI"....hapa huwa ni kupotezea tuKazi kweli kweli. Unabembeleza utafikiri sip hela yako
Kauli hii,,,'NIKIPATA,NITAKUPA,NAKUMBUKA SANA KAMA UNANIDAI"....hapa huwa ni kupotezea tu
Ni mtihani kwakweli.,Yaani siku hizi kukopeshana ni mtihani