Father of Chemistry
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 397
- 1,282
Mgaa gaa na upwa hali wali mkavu
Namaanisha ktk hiz meme kuna mengine hajayasema wadau wanajiongezaAnayemlisha maneno ni nani?
Unaweza kumlisha maneno profesa mwenye msimamo!?
Huyu siyo yule wa kuokota jalalani
Mjukuu wa SB
Hilo halina shaka, watu wanasubiri uanze tu.Namaanisha ktk hiz meme kuna mengine hajayasema wadau wanajiongeza