Kuna midada hapendi michezo michezo, hata kumpapasa anakuambia uache utoto, mnaishia kufanya moja kwa moja bila foreplay.
Kamekuaje.?!haka kapaka nako mmmh




Nadhani watu huwa wanakwepa gharama...ilishawahi kunitokea mtu niliyekuwa namtegemea akaja opposite kabisa tena huyu mtu mzima sana hata kumpelekea moto ni aibu! Halafu sasa amesafiri kutoka Kibaha huko ndani ndani kuja Dar. Tuliishia tu kula kuku na kucheka kwa furaha sana mahali peupe nikampa nauli akarudi zake Kibaha. Surprisingly tuliishia kuwa marafiki sana mpaka hatimaye akaridhia akani-introdyusi kwa binti yake Husna nikamkula![]()


Siyo hawa wa Kiswahili aisee. Picha nilizokuwa natumiwa kajifunga ushungi ndio kajipodoa naona macho tu malegevu yanatamanisha hatari. Kuja kukutana naye laivu nilikwazika kwa kweli ila nikajikakamua. Na at the end of the day it turned out to be OK![]()