Ushaskia masai kafa mjini..?!Hakuna urijali hapo [emoji16][emoji16]
Naomba nije PM mtumishi nikunong'oneze kakitu. Ubazazi bado napambana nao. Niombee Mtumishi [emoji1545]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1373][emoji1373][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]View attachment 1963099
[emoji1787][emoji1787][emoji1373][emoji1373]
Babu[emoji16]hicho nacho ni kituko[emoji3]Bado unampenda ex eeeh!?
Mliachanaje?
Ha ha ha! Rigor Mortis!Two days? Ni six hours tu watu wameshaanza kunywa na beche linachambuliwa. Hata rego mortis bado watu wameshalewa eti celebration of life.
View attachment 1967008
Pole Sana babu[emoji19]Miaka minne sasa lakini sijaweza kufuta namba ya mama; na bado inafanya kazi. Lakini ndo hivyo...kimyaaa [emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]looooohHao hawaendani...nati kubwa screw ndogo...inatakiwa nati ndogo, screw kubwa [emoji16]
Sasa hivi ikoje? [emoji1787][emoji1787]Ilikuwa zamani[emoji16]View attachment 1967054
Wachache[emoji2902]Hata sasa bado ipo. Just find your soulimeti mjukuu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sass hivi sijui wanasemaje wenyewe[emoji16],kiufupi mambo yamebadilika[emoji2902]Sasa hivi ikoje? [emoji1787][emoji1787]