Jana ulikuwa kwa Mwamposa leo umehamia WRM,au unafanya utalii wa kiroho[emoji28]Hawa wa baba sura zao[emoji23]imenibidi niwaselfie[emoji41]View attachment 1962082
Nzi anaishi siku 28,hii ya kuishi Siku saba nani alisema?
Umeshindwa kuvumilia !Nzi anaishi siku 28,hii ya kuishi Siku saba nani alisema?
Na wepesi wa kuliwa nundu ndo wepesi wa kuachwa mapema.. kiuchumi tunaita Marginal diminishing returnAu sio [emoji16][emoji16]View attachment 1962369
Nimeshindwa kuvumilia aisee,maana huu uzushi umekuwa wa muda sana[emoji3],uongo ukiachwa unageuka ukweli,humu tunaburudika na kuelimikaUmeshindwa kuvumilia !
Ndio maana wamekuwekea vidonge ili mwili ukifa ganzi umeze[emoji851]View attachment 1962066
Umealikwa au unataka kutualika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani,Nina kadi nyingi hapa[emoji16]View attachment 1962014
Hii ukimtumia mwanasekondari anamuonesha mpaka mamaake!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ma copper copper ya wazugaji[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1962361
Hiyo mashine imepigwa cheni mshkaj kajishikiza hapo ili ajifurahishe na mapichapichaLadha ya mjaniView attachment 1961800
Km ataendelea kubisha kuhusu 43 mim nitakua shahid wakoNimefikisha 43 ghafla mamaa!!
Nashukuru Mkuu!!Km ataendelea kubisha kuhusu 43 mim nitakua shahid wako
Hahahaha[emoji23]Au sio [emoji16][emoji16]View attachment 1962369