Rest assured !Kwetu vitambi vya hivi ni vya maafande[emoji23]View attachment 1962629
Za mualiko ninazo kibao,ukitaka nakugawia[emoji41]Umealikwa au unataka kutualika
Napendaga kuangalia tu,vile raia wanavyotoa ushuhuda,Jana ulikuwa kwa Mwamposa leo umehamia WRM,au unafanya utalii wa kiroho[emoji28]
[emoji851]43kugawa kwa mbili Kuongeza 4 na nusu=Km ataendelea kubisha kuhusu 43 mim nitakua shahid wako
Picha na maelezo vinafanana kwlkwl[emoji23][emoji23]