Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Msukuma kasema aongezewe,hajashiba[emoji2902][emoji2902]
FB_IMG_16317393477567627.jpg
FB_IMG_16317393567472942.jpg
FB_IMG_16317393720230061.jpg
 
Vikombe mobile? Si mpaka vigonganishwe? Na hivyo vikombe kuna babu na mjukuu? Nauliza tu.
Bora utumie mfano wa wanyama ambao wana uhai, mmh[emoji2297][emoji2297] lakini ujue wanyama babu na mjukuu 'wanakulana'[emoji39][emoji39]
Inakuwaje babu na mjukuu kulana,oooh labda hivyo kwa wanyama,

Ata kuku anaweza kumpanda mamaake[emoji3061]
 
Back
Top Bottom