CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
Wanakera sana. Timu mbovu,halafu bado unawafanyia figisu wageni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuu, mkuu mbona umefika mbali sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi wangeshinda,wakafungwa. Yaani kila nikiitafakari hii timu yangu sioni future kabisa.