Qwy
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 6,236
- 31,197
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
From 11:00PM to 11:20PM, so the game took 20 minutes.Waleteeeeee[emoji41],kwani wao wanasemaje???View attachment 1939528
[emoji41]From 11:00PM to 11:20PM, so the game took 20 minutes.
Simple game.
[emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Za kwenye display atazificha?
Utoto shida sana.
Head buried deep down under, Uvinza kama Uvinza.[emoji1787]View attachment 1939447
[emoji16][emoji16][emoji16]WAFRIKA NA UCHAWI HUWAAMBII KITU.
Mashabiki wa timu ya VRA Youngsters ya nchini Ghana, wakiwa wamewabeba mgongoni wachezaji wa timu yao hiyo kuingia uwanjani ili kukwepa kile wanachodai uchawi waliotegewa na wapinzani wao Sokondi Wise Fc.
Pamoja na jitihada zao hizo lakini timu hiyo ilicharazwa bao 3-0.
View attachment 1939209
Naonaga bongo movie nzima huyu ndio huwa ananirusha roho pekee [emoji16][emoji16]
Hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mdigo wa pande njooView attachment 1939477
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] nyi walozi mna mambo aiseeKama ilikuwa ni lazima kuwabeba basi wote wangewekwa sehemu maalum wakatakaswa walau masaa 12 kisha wakapewa nguo mpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasubiri [emoji1787]
Hahaha, Songesha wanaleta ujinga[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]View attachment 1939533
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]mtan mtan!!!!