Behat
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 602
- 2,179
Pesa ya kusukia 50,000/
Unatuma 300 hata andazi hupati[emoji41]
Mtoto wa kislam wew!!!,nywele za 50k ni aina gan hzo!!?
Pesa ya kusukia 50,000/
Unatuma 300 hata andazi hupati[emoji41]
Aseee, [emoji849][emoji849][emoji849][emoji15]rikiboi
founder & ceo of _______View attachment 1938955
Sawa[emoji16][emoji16]Rudisha kale ka avatar ka mwanzo[emoji51]
Wanasemaga hao wanaosukaga hizo nyweleMtoto wa kislam wew!!!,nywele za 50k ni aina gan hzo!!?
Ulikua sahih kwa asilimia khamsin
A big stomach = weak abdominal muscles!
Huo ndio ulikuwa uchawi wenyewe sasa.. Watu wanaingia uwanjani wao wanawabeba migunduni wakati mingine haijachambwa[emoji38]WAFRIKA NA UCHAWI HUWAAMBII KITU.
Mashabiki wa timu ya VRA Youngsters ya nchini Ghana, wakiwa wamewabeba mgongoni wachezaji wa timu yao hiyo kuingia uwanjani ili kukwepa kile wanachodai uchawi waliotegewa na wapinzani wao Sokondi Wise Fc.
Pamoja na jitihada zao hizo lakini timu hiyo ilicharazwa bao 3-0.
View attachment 1939209
Uto fc[emoji31][emoji31][emoji31][emoji23][emoji23]Wazee wa mila View attachment 1939231
Ikirudi pancha puuu au swiiiiiImetoka hiyo View attachment 1939249
KHAH..[emoji23]Huyu dogo leo kajua kunichekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kalastborn kajinga[emoji41]View attachment 1939255View attachment 1939256