moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 158,325
- 775,815
Ndiyo ujipeleke hivyo[emoji23]Nitaolewa na binamu[emoji23]
Ndiyo ujipeleke hivyo[emoji23]Nitaolewa na binamu[emoji23]
Namsubiri wa ndoto[emoji7]Ndiyo ujipeleke hivyo[emoji23]
[emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1938664
Nilidhan ni last wanAta chai nakunywa kitandani hapa,first born rah sana,unaletewa tu[emoji7][emoji7][emoji7]
Aaaah waapi[emoji16]Nilidhan ni last wan
Ametoa ushuhuda kuwa korona ipo na inaua[emoji23][emoji116]View attachment 1938671
[emoji23][emoji23]bongo hyoAmetoa ushuhuda kuwa korona ipo na inaua[emoji23]
Isipokua hivyo hutalala usiku mbili kwa mwanaume,hiyo kitu ni muhimu kuliko chakula.Wanaume ni viumbe vya ajabu sana,View attachment 1938655
Kama ni kweli Yanga walihusika kwa namna moja ama nyingine kuwahujumu au kuwaharas hawa jamaa,hata wakiliwa 0714 huko ni sawa tu. Mungu anisamehe.Yanga wajiandae kisaikolojia.
Maana tutawapokea kama walivyotupokea, na tutawaongezea dose ili akili iwakae sawa.
Msemaji wa Rivers United Charles Muyuku.View attachment 1938635
Aiseee.[emoji116]View attachment 1938671
Mechi ya kiume inapigwa inside ya ndani[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuu, mkuu mbona umefika mbali sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ni kweli Yanga walihusika kwa namna moja ama nyingine kuwahujumu au kuwaharas hawa jamaa,hata wakiliwa 0714 huko ni sawa tu. Mungu anisamehe.