Hebu tumpeleke Tanga akapate darsa[emoji3]Ndio kitandani
Ndio ni kitenge,kwasababu shuka lisichafuke,
Usiku saa 6 nikakae waapi mwenyewe[emoji23]
Nje ya mada[emoji116]
Ungekua umeoa ningekufundisha Kitenge kinamaana gani kutandikwa mkiwa mmelala[emoji2902][emoji2902]
Huyo haina haja kumtag [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtag mzee wa misambwanda