Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Mbona nimeshatuma sana tu; usije ukapingua urafiki na mimi kisa sina msambwanda jamani mweeeh
Mtumishi; kwa nini tuandikie wino na mate yapo? Si urushe tu kapicha kama kule kwenye uzi wa kuselfika tuone? Kuna ugumu gani kufanya hivyo?